Saturday, October 1, 2011

WAZIRI KOMBANI ATEMBELEA MAHAKAMA KUU, AONANA NA JAJI KIONGOZI PAMOJA NA WATENDAJI WA MAHAKAMA KUU



Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Celina Kombani akijadili jambo na Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu alipomtembelea ofisini kwake leo, anaeshuhudia maongezi hayo(katikati) ni Jaji Mfawidhi, Mahakama Kuu, Kanda ya Dar es Salaam, Mhe. Semistokes Kaijage.
 
JAJI Vincent.K.D Lyimo ASTAAFU
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akishuhudia Jaji Kiongozi, Mhe. Fakih Jundu akimkabidhi Shada la maua kwa Jaji Mstaafu, Mhe. Vincent.K.D Lyimo
 
Remarks From Registrar
Registrar Court of Appeal
Registrar Court of Appeal
Since the launching of the Legal Sector Reform Programme ten years ago, the Judiciary has made notable interventions in enhancing its functions in the administration of Justice and the Rule of law. Below are major findings, achievements & failures, lessons learnt and recommendations for improvement as outlined in service Delivery Survey.

The Judiciary has achieved some notable changes in the following areas: the introduction of ADR, a functioning individual calendar system for disposition of cases, establishment of effective case flow management committees at national level and lower courts,

No comments:

Post a Comment